Top Stories

15 bora ya dunia imetua Tanzania… karibu Middlesex University

on

Tunaofatilia tunazijua sifa zote kubwa za Chuo Kikuu cha Middlesex University ambacho hutoa masomo ya Masters na wapo tayari kupokea Wanafunzi wapya kwa mwaka 2018/19 katika campus zake za London, Malta, Dubai na Mauritius kwa course mbalimbali.

Middlesex Univeristy ina umri wa miaka 140 toka izaliwe huko London mwaka 1878 na mpaka sasa wanahudumia Wanafunzi kutoka zaidi ya mataifa 145 duniani.

Mwaka 2017 chuo hiki kilikuwa katika orodha ya vyuo vikuu 15 bora zaidi duniania kwa mujibu wa Times World University Rankings. ambapo uofauti na ubora huu unaruhusu Wanafunzi kuvunja mipaka ya kitamaduni na kuwa na uzoefu na mitazamo tofauti.

Wanafunzi wanapata elimu bora na yenye misingi thabiti  na upana katika kila sekta ya course husika na zote hufundishwa na Wasomi wenye ujuzi wa kipekee na uzoefu wa kitaalamu katika kutumia mbinu za vitendo kwenye kufundisha.

Kwa taarifa zaidi pita kwenye tovuti hii www.mdx.ac.uk

 

Soma na hizi

Tupia Comments