Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Billnass amtolea uvivu Young D amwambia “Ukicheza wewe na Tunda inatosha”

on

Leo June 4, 2018 star Billnass amejibizana na Rapper Young D kwenye comment ya post yake baada ya kupost Picha ikimuonesha anapiga mpira huku akiwa kavaa jezi ndipo Young D aka-comment kumuambia Billnass kuwa mpira hauchezwi studio kama anataka aende uwanjani au hata wacheze PS4.

Baada ya Young D kuandika hivyo naye Billnass akamjibu kuwa PS4 akicheza yeye na Tunda inatosha na kama utakubuka Tunda na Young D waliwai kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

 

Mabibi na Mabwana hili hapa kundi jipya la Muziki Bongoflevani VMG

Soma na hizi

Tupia Comments