Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Swali la Samatta kwa mashabiki wake, wewe utamjibu vipi?

on

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta leo kupitia ukurasa wake wa instagram ameuliza mnataka awe kocha wa aina gani?

“Nawaza siku moja nije kuwa kocha wa soka mnadhani nafaa kuwa kocha? wa aina gani? “kuupiga mwingi au mwendo wa vilima?🤔”>>>Mbwana Samatta

Mbwana Samatta kwa sasa bado yupo Ubegiji akiendelea kuipigania club yake ya KRC Genk ipate nafasi ya kucheza michuano ya UEFA Europa League kipindi hiki wanachocheza game za play offs za kumaliza Ligi Kuu Ubelgiji.

VIDEO: Mapokezi ya Yanga Airport DSM na alichokisema kocha wao

Soma na hizi

Tupia Comments