PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Irene Uwoya “kufa lazima nitakufa tu! ila kuiona pepo namuachia Mungu”

on

Kupitia mtandao wa Instagram muigizaji staa Irene Uwoya ameamua kuwaandikia mashabiki wale wanaosema kuhusu picha anazozipost toka June 19, 2018 ambapo wengi wamekuwa waki-comment kumkosoa jinsi alivyopiga picha hizo wakidai ni mke wa mtu hakupaswa kufanya hivyo.

Sasa Irene Uwoya ameamua kupost picha kuwajibu mashabiki hao kwa kuandika..>>>”ukivaaa nguo kawaida anakigodoro …nikimpost mme ooh mdogo…nisipo post kwanini humpost umpendi…nikivaaa nguo za ufukweni nipo uchi mke wa mtuuu…😂😂😂

‘Sasa nasema hivi kwa wale iliyowauma poleeeni sanaaa…siku nyingine ntawashirikisha nikitaka kupost 🤣…hivi kaka @loydemich mim niwakwanza kwani bongo kuvaaa hivi maeneo ya ufukweni?:::mme wangu kaipenda balaaah yani.”

“Kufa lazima nife tuuu… na hakuna atae ishi milele…ila kuhusu kuona Pepo hakuna anaejua ni MUNGU pekeee…sooo maneno yenuuu hayanitishiii!!!kama roho kuuuma zitawauma sanaaaaa mim roho yangu nyeupeeeee peeeee….. asante @dogojanjatz kwakunipenda” – Irene Uwoya

 

Hatua hiyo imekuja baada ya kupost picha yake ya kwanza ambayo inaonesha baadhi ya sehemu ya mwili wake akiwa pembezoni mwa Bahari na ndipo mashabiki wakaikosoa kwa kudai yeye Uwoya ni mke wamtu so hakustahili kuonesha sehemu ya mwili wake hivyo.

“Gigy Money is not my Type, siwezi kuwa na tatizo na mtu ambaye yupo chini yangu”

Soma na hizi

Tupia Comments