Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Shamsa Ford ajitangaza kuwa single “Ma-single ladies tukatafute hela”

on

Story kubwa ambayo imechukua headlines ni kuhusiana na penzi kati ya muigizaji Shamsa Ford na Mume wake ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini Chid Mapenzi kusemekana kuwa limevunjika, ingawa kwa upande wao hakuna aliyefunguka kuhusu hilo.

Tetesi hizo zimezidi kusambaa kwenye mtandao kijamii baada ya caption aliyoiandika Shamsa kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amejiita single mama na ndipo mashabiki walipopigia msitari na kusema kuwa ndoa kati ya Shamsa na Chid Mapenzi imevunjika, ndoa hiyo ilifungwa September 2, 2016.

“Morning my people..kumekucha jamani ..wale masingle ladies kama mm jamani achieni mashuka mkatafute vijicent vya watoto wenu maana mjini pagumu bila kuchakarika na hizi shule za watoto wetu vingereza vingi mpaka mtu unaogopa kurudi nyumbani mapema unavizia mpaka mtoto awe amelala๐Ÿ˜€” >>>ameandika Shamsa Ford

VIDEO: MAN FONGO KAPATIKANA KAFUNGUKA ISHU YA KUFUNGWA JELA MIAKA 30, BONYEZA PLAY HAPA KUSIKILIZA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments