AyoTV

VIDEO: Simba imepewa Milioni 100 leo kwa Ubingwa wao wa VPL

on

Club ya wekundu wa Msimbazi Simba SC leo Alhamisi ya May 24 2018 imekabidhiwa zawadi ya Tsh milioni 100 kutoka kwa mdhamini wao Mkuu SportPesa kama sehemu ya ahadi yao waliyoitoa wakati wa kuingia nao mkataba.

SportPesa walivyoingia mkataba na Simba waliahidi kutoa Tsh milioni 100 katika mkataba wao kama club hiyo ikifanikiwa kutwaa Ubingwa wa VPL, hiyo ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha timu hiyo kufanya vizuri zaidi.

VIDEO: Wachezaji wa Simba SC baada ya kukabidhiwa Kombe la VPL

Soma na hizi

Tupia Comments