Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Haji Manara kapewa onyo kali kwa kitendo hiki

on

Kikao cha kamati ya saa 72 kilikaa na kujadili mambo mbalimbali ya Ligi hiyo sambamba na matukio yaliojitokeza, baada ya kukaa leo afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kuzungumza maamuzi yaliofikia.

Kamati hiyo imesmsimamisha beki wa Yanga Kelvin Yondani kwa kosa la kumtemea mate hivyo atasubiri maamuzi ya kamati ya nidhamu lakini pia imetoa onyo kali kwa afisa habari wa club ya Simba Haji Manara kwa kuignia eneo la uwanjani kushangilia baada ya mchezo wa Simba dhidi ya Yanga uliyomalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 1-0.

VIDEO: Mbwembwe za Haji Manara uwanjani baada ya ushindi wa Simba vs Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments