Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

RC Gambo atangaza kuanza msako wa mafuta ya kula na sukari

on

Baada ya Waziri Mkuu kuagiza wafanyabiashara wa mafuta ya kula pamoja na sukari kutokuficha bidhaa hizo, Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema watafanya msako kubaini waliokiuka agizo hilo.

“Natumia fursa hii kuwakumbusha wafanyabiashara kuwa agizo la Waziri mkuu litaisha tarehe 12 mwezi wa tano, tutafanya msako kwenye maghala yote na kwenye maduka yote” -RC Gambo

LIVE AGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

Soma na hizi

Tupia Comments