Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

BREAKING: Taarifa mpya kuhusu watu 15 waliofukiwa mgodini Geita

on

Baada ya jana kupatikana kwa taarifa za matumaini ya kupatikana kwa Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi kwenye mgodi huko Geita, leo asubuhi January 29 2017 zimeripotiwa habari njema kwamba wachimbaji wote 15 wameokolewa wakiwa hai.

Endelea kuwa karibu na millardayo.com nitakuletea taarifa kadri zitakavyonifikia… kwa sasa ni hiyo ya kufahamu na sekunde chache zijazo nitakuletea picha kwenye post inayofatia.

Hii ni picha kutoka kwenye eneo la tukio asubuhi hii

ULIPITWA? Hii video hapa chini ni ya taarifa ya jana usiku kuhusu Watu hao 15 walivyoshtua watu baada ya kutuma ujumbe kwamba bado wako hai, bonyeza play hapa chini kuipata yote

 

Soma na hizi

Tupia Comments