Tangaza Hapa Ad

Michezo

LiveSTREAMING: Angalia mechi ya Europa ya KRC Genk ya Samatta vs Rapid Wien

on

Mtu wangu wa nguvu leo November 24 2016 mechi 24 za Europa League round ya tano zinachezwa, moja kati ya michezo inayochewa usiku wa leo ni mechi kati ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta dhidi ya Rapid Wien ya Austria.

Sub ya Genk:Jackers, Heynen, Walsh, Kumordzi, Samatta, Trossard, Dewaest & Wouters

Mechi itaanza saa 23:05 kwa saa za Afrika Mashariki inawezekana upo mbali na TV, lakini kama una Smart Phone, Tablets au Laptop unaweza kuangalia mechi ya KRC Genk vs Rapid Wien Online kwa kubonyeza HAPA.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement