Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 17: Kutoka Mombasa….Maandalizi ya jukwaa la mkali Chris Brown

on

Ni October 8, 2016 ambapo mashabiki wa muziki na wadau mbalimbali Mombasa nchini Kenya wanatarajia kupata burudani ya nguvu kutoka kwa msanii wa marekani, Chris Brown huku mkali huyo akisindikizwa na Wizkid, Alikiba, Navio, Vanessa Mdee na wengineo.

Sasa basi millardayo.com & Ayo TV imekusogezea hizi picha 17 kutoka kwenye maandalizi ya jukwaa  ambalo wakali hao watahakikisha wanatoa kile walichokiandaa kwa mashabiki zao.

Tamasha hilo limepewa jina la Mombasa Rocks Festival

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Unaweza ukabonyeza play kujionea maandalizi ya jukwaa la mkali Chris Brown Mombasa yakifanyika katika uwanja wa Golf Club Mombasa

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement