Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kauli ya Serikali kwa watendaji wanaowakamata na kuwapiga wauza mkaa

on

June 12, 2018 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga amepiga marufuku watendaji wanaokamata na kuwapiga watu wanaowakamata kwa kusafirisha mkaa na badala yake wawapeleke katika vyombo vya usalama. Hasunga ameyasema hayo wakati akijibu swali la Munge wa viti maalum CCM Munde Tambwe.

Agizo alilotoa Rais Magufuli kwa Viongozi wote wa Dini nchini

Soma na hizi

Tupia Comments