Top Stories

Watuhumiwa 61 wa ugaidi Arusha Mahakamani

on

Leo March 13, 2018  ilikuwa ni siku yakutajwa kwa kesi ya watuhumiwa 61 wa ugaidi ambapo hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo katika mahakama ya hakimu mkazi Nestory Baro ameahidi kuwapatia nakala za hukumu mara baada ya watuhumiwa hao kuomba kupatiwa na hii ni kutokana watuhumiwa 25 kuhukumiwa kwa kitendo cha kuidharau mahakama.

CHADEMA “Amekwisha toa Hukumu Kijana huyu amejiteka”

 

Soma na hizi

Tupia Comments