Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

‘Lowassa amekata Kiu yake, tunamshukuru Rais JPM’ Mrisho Gambo

on

Leo January 10, 2018 AyoTV na millardayo.com imepata nafasi ya kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kuhusu Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kumtembela Rais John Magufuli siku ya jana.

RC Gambo ameeleza kuwa Lowassa ni kweli alikuwa na kiu ya muda mrefu ya kutaka kumuona Rais na kudai kuwa kila Mtanzania mwenye akili timamu lazima awe na kiu hiyo ya kumuona rais.

Pia amempongeza Rais Magufuli kwa kuonesha kuwa agenda yake kuu ni maendeleo na kwamba uchaguzi alimaliza mwaka 2015 na yeye hana ubaguzi kwa yeyote anayetambua kuwa yeye ni Rais amepewa dhamana ya Watanzania.

“Nampongeza Rais Magufuli kwa kutufundisha uongozi hasa sisi, viongozi vijana.” – Mrisho Gambo

Wafanyabiashara wa Zanzibar wakiri kusafirisha dhahabu ya Tsh Mil 989 bila leseni

“Hatuna huruma , hawatabaki salama”-Polisi Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments