PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Uchambuzi wa Shaffih Dauda hapa ndio walikwama Singida UTD

on

Jumamosi ya June 2 2018 mchezo wa fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup ulichezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kwa kuzikutanisha timu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani na Singida United ya Singida.

Game ilimalizika kwa Mtibwa kupata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Singida United, licha ya kuwa Singida waliutawala mchezo zaidi ya Mtibwa Sugar, baada ya game AyoTV iliongea na mchambuzi wa soka wa Clouds TV Shaffih Dauda na kutoa tathmini yake walipokwa Singida.

AyoTV ilivyomnasa staa wa zamani wa Liverpool Airport KIA

Soma na hizi

Tupia Comments