PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Odama BongoMovie haijafa ni upepo tu, Tanga nisubirini Iddi Pili

on

Muigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya J Film For Life Janifer Kiyaka maarufu kama Odama leo alifanya mkutano na waandishi wa habari kuzungumza nao mambo mbalimbali kuhusiana na tasnia ya filamu Tanzania na mpango wake katika filamu kwa sasa kipindi hiki inachodaiwa tasnia hiyo kufa.

Odama ameeleza kuwa pamoja na changamoto zilizopo kwa sasa kampuni yake ya J Film imeandaa movie ya ‘Kiongozi’ na atafanya uzinduzi wa movie hiyo Nyumbani hotel Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Pili.

Zaidi Bonyeza PLAY kumsikiliza Odama

“Sijagombana na Aslay kwa sababu ana wanawake wengi hiyo ni kawaida” – Tessy

Soma na hizi

Tupia Comments