Habari za Mastaa

GIGY MONEY: “Unahojiwa unasema hunijui wakati tumeamka wote? nitakuchafua’ (+video)

on

Msanii wa Bongofleva Gigy Money amekaa kwenye On Air with Millard Ayo na kueleza mambo ambayo Mashabiki zake hawayajui lakini pia akitaka kuwafundisha Mabinti wasijaribu wala kushawishika hata kidogo kujiingiza alipopita yeye hata kama maisha ni magumu vipi.

Gigy anasema hakupenda kuuza mwili wake ili apate pesa, ni kitu ambacho alikifanya sababu Mama yake alikopa pesa benki na kushindwa kuzirudisha… juzijuzi alikutana na Mwanaume ambae alimlipa kwa kuutumia mwili wake, alimpiga kwa hasira…. bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

EXCLUSIVE: HISTORIA YA GIGY MONEY “BABA POLISI, MAMA MHALIFU”

EXCLUSIVE: GIGY MONEY AMWAGA MACHOZI “SIO KILA MWANAMKE ANAEJIUZA AMEPENDA”

Soma na hizi

Tupia Comments