AyoTV

VIDEO: Usiku wa The Mafik Club Nextdoor DSM

on

Ni June 11,2018 ambapo wakali kutoka Bongoflevani wanaounda kundi la The Mafik waliotoa burudani kwa mashabiki wa muziki wa live kwenye ukumbi uitwao Live Square uliopo katika Club Nextdoor Dar es Salaam.

Unaweza ukabonyeza play kuwasikiliza wakali hao walivyoimba Live Band

ULIIKOSA HII YA THE MAFIK WALIVYOONESHA BALAA LAO USIKU WA THE VIKING NIGHT BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Tupia Comments