AyoTV

Mpenja katangaza goli kabla ya kona kupigwa, ataomba kutotangaza game za timu yake

on

Moja kati ya majina yanayokuwa gumzo mItandaoni baada ya game za Ligi Kuu kumalizika, pamoja na jina la mtangazaji wa game hizo wa Azam TV Baraka Mpenja katika exclusive Interview na Baraka Mpenja ameamua kutaja timu anayoishabikia na hatotangaza game za timu hiyo kwa sababu ya kuwa na mapenzi nayo, BONYEZA PLAY KUTAZAMA SEHEMU YA PILI YA USIO YAJUA KUHUSU BARAKA MPENJA

Mbona Jonas Mkude hatumuoni Zenji? Meneja wa Simba kajibu

Soma na hizi

Tupia Comments