Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mkurugenzi wa Dodoma awachimba mkwara Simba na Yanga “hatuna nafasi”

on

July 9, 2019 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amemtambulisha rasmi aliyekua kocha wa zamani wa Polisi Tanzania, Mbwana Makata kuwa Kocha Mkuu wa Dodoma FC. Akizungumza mbele ya Waandishi wa habari Kunambi amesema kuwa Jiji la Dodoma wamejipanga kuhakikisha timu hiyo inapanda daraja na kwenda katika ligi kuu ili kuhakikisha wanampa heshima Rais Magufuli kwa kuipa hadhi Dodoma kuwa jiji.

BIBI MZEE ALIEZUNGUSHWA ARDHI YAKE KWA MIAKA 42, RAIS MAGUFULI AMRUDISHIA

Soma na hizi

Tupia Comments