Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

SportPesa: Hii ni time ya Chato kwa Rais Magufuli

on

Watu wangu wa nguvu kutoka Chato Mkoa wa Geita wanaonekana kuwa na bahati hiyo inatokana na Chato kufanikiwa kutoa mshindi zaidi ya mmoja katika promosheni ya Shinda na SportPesa inayoendelea kwa sasa Tanzania nzima chini ya usimamizi wa kampuni ya michezo ya ubashiri ya SportPesa.

Masinde Charles Majogoro mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni afisa wa Polisi Chato mkoani Geita ndiye mshindi wa droo ya 26 wa promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA aliyepatikana tarehe 20 Novemba 2017 na amefanikiwa kukabidhiwa zawadi yake ya pikipiki ya magurudumu matatu.

Masinde Charles Majogoro akikabidhiwa TVS KING DELUXE na ndugu Jackson Misungwi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Chato

Mshindi huyo Masinde Charles Majogoro amekabidhiwa  TVS KING DELUXE na ndugu Jackson Misungwi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Chato, kama hufahamu tu Chato ndio nyumbani kwao na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli hivyo watu wakwao wamezidi kuwa na bahati.

VIDEO: Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja

Soma na hizi

Tupia Comments