Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

Benki Kuu ya Tanzania imezifungia benki hizi 5 kuanzia leo (video)

on

Leo January 4, 2018 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Professa Benno Ndulu ametangaza kuzifungia benki 5 nchini kutokana na kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha.

Benki hizo ni pamoja na Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Farmers’ Cooperative Bank.

“Kufungiwa maana yake ni kuwa watasitisha shughuli  zote za kibenki, tutafuta leseni zao za kibiashara na kuziweka chini ya ufilisi benki hizi zote tano kuanzia leo.”Prof. Benno Ndulu 

GOOD NEWS: JPM atangaza kutoa Tsh Bilioni 200

Diwani aliyejitolea kujenga madarasa kwa ajili ya wanafunzi kusoma masomo ya ziada

Soma na hizi

Tupia Comments