Premier Bet

Top Stories

Baada ya Wizara ya AFYA kuhamia Dodoma, Jengo lao wamepewa wengine?

on

Baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kutembelea Ofisi za Mamlaka ya ya Kuzuia na Kupambana na Dawa ya Kulevya, leo amewapatia zawadi ya gari ikiwa kama kitendea kazi kwenye Mamlaka hiyo, gari hilo amemkabidhi Kamishna Mkuu Rogers Siang’a.

Licha ya gari walilopewa Waziri Mkuu  amesema kwa kuwa Wizara ya Afya tayari imeshahamia Dodoma basi Jengo walilokuwa wanalitumia wamewapa Mamlaka ya Kuzuia na Kupamabana na Dawa za Kulevya Nchini.

“MPAKA WAUZA DAWA ZA KULEVYA WANASEMA VYUMA VIMEKAZA’ -ROGERS SIANG’A

Soma na hizi

Tupia Comments