Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kamanda Mambosasa aeleza jambazi komando kutoka Burundi wa wenzie 2 walivyouawa na polisi

on

Leo December 5, 2017 Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa kwenye mkutano na waandishi wa habari ameeleza kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi limepambana na watu 3 ambao ni majambazi hadi kufa mmoja wao akiwa ni raia wa Burundi na wengine Watanzania.

Ameeleza kuwa raia huyu wa Burundi ambaye ndiye aliyekuwa kiongozi wao amewahi kupitia mafunzo ya jeshi kwa kiwango cha Ukomando na alikuwa mtu hatari ambaye amesababisha mauaji mengi hapa Dar es Salaam na nje ya mkoa.

Kwa kutazama mkutano huo bonyeza PLAY kwenye video ya hapa chini

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement