AyoTV

Baraka Mpenja wa Azam TV “Walitaka kuandika barua nisitangaze mechi zao”

on

Moja kati ya majina yanayokuwa gumzo mItandaoni baada ya game za Ligi Kuu kumalizika, pamoja na jina la mtangazaji wa game hizo wa Azam TV Baraka Mpenja ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii, baadhi ya watu wakisema wanavutiwa na uwezo wake lakini wengine wanasema ni shabiki wa moja kati ya timu za Simba na Yanga, hivyo ikishinda huwa anatangaza kwa kushangilia.

AyoTV IMEFANIKIWA KUMPATA MPENJA KATIKA EXCLUSIVE NA AMEJIBU YOTE USIO YAJUA KUHUSU YEYE

Kocha wa Simba baada ya kuwasili Zanzibar”Sio njia bora ya kuandaa timu”

Soma na hizi

Tupia Comments