AyoTV

Jibu la Kamanda Polisi Unguja ukiuliza takwimu za Shambulio la aibu

on

Kama utakuwa unakumbuka vizuri mwezi May 2018 kauli ya kamanda wa Polisi mjini Magharibi visiwani Unguja Zanzibar Hassan Nasri ilichuku headlines kwa kiasi kikubwa kuwa watawafungulia mashitaka watu wote watakao kuwa wanaguna wakiwaona wanawake wenye maumbile makubwa.

Sasa wote unafahamu kuwa kamanda Hassan Nasri amehamishiwa Pemba lakini Aplifaya ya Clouds FM imefika visiwani Unguja na kumuuliza Kamanda wa sasa wa Polisi wa Mkoa huo Thobias Sedoeka vipi? takwimu za watu ambao wamewahi kukamatwa kwa shambulio la Aibu toka tamko la Kamanda Hassan Nasri kabla hajaamishwa zipoje?

Musukuma kavaa Kimasai “hapa mkono unatembea tu!” (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments