Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

VideoFUPI: Trafiki mwenye mbwembwe za Michael Jackson akiongoza magari

on

Katika pitapita zangu katika mitandao ya kijamii leo December 28 2017, nimekutana na video fupi kutoka katika instagram account ya BBC News ikimuonyesha askari wa barabarani India akiongoza magari kwa mbwembwe kama style ya uchezaji wa marehemu staa wa Pop Michael Jackson.

Ranjeet Singh amenukuliwa akisema style yake ya uongozaji magari barabarani ameipata kutoka kwa marehemu Michael Jackson.


Naambiwa hii ndio Mall kubwa Arusha nzima ‘AIM MALL’

Soma na hizi

Tupia Comments