PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

TFF imeingia mkataba na LaLiga June 18 2018

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo limetangaza taarifa njema kwa soka la Tanzania, viongozi wa TFF chini ya Rais wao Wallace Karia wamefika makao makuu ya LaLiga nchini Hispania katika mji wa Madrid.

TFF chini ya Rais wao Wallace Karia wakiwa Madrid Hispania ambapo ndio makao makuu ya LaLiga wametangaza kuingia mkataba wa miaka mitatu na LaLiga kwa ajili ya kuendeleza soka la Tanzania.

LaLiga na TFF wameingia mkataba huo ambao pia unalenga kuleta mahusiano mazuri ya soka kati ya nchi hizo, halafla ya utiaji saini imehudhuriwa na afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura.

FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018

Soma na hizi

Tupia Comments