Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Ni kweli ni ngumu kocha mkuu kutokuwepo”-Kocha msaidizi Yanga

on

Yanga wakiwa nyumbani wameshindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kujikuta wanalazimishwa sare tasa (0-0) hivyo wanakuwa na point moja na wakishika mkia katika Kundi D ambalo linaongozwa na USM Alger ambayr ana point nne.

Baada ya game kocha wao msaidizi wa Yanga Noel Mwandila ameongea na waandishi wa habari baada ya game kumalizika “Kwa bahati mbaya tumepata sare kwa hiyo sasa tunatakiwa kushinda mchezo wetu unaofuata nyumbani na mchezo mmoja ugenini ambapo unaweza kutuhakikishia kupata point 10 au na zaidi katika kundi”>>>Noel Mwandila

Haji Manara alivyokuja na takwimu leo mbele ya waandishi wa habari

Soma na hizi

Tupia Comments