Tangaza Hapa Ad

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ile video ya Diamond Platnumz ft. Rick Ross ndio hii


Baada ya kuziona sana zile picha na kusikia kuhusu ujio wa video mpya ya Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz aliyomshirikisha Hiphop Staa wa Marekani Rick Ross, leo ni zamu ya kuiona video yenyewe ambayo ilikua itokea December 1 lakini ikasogezwa mpaka usiku wa December 7.

VIDEO: MKWARA WA DIAMOND “Kama hutaki kumshika mkono Bwana harusi utoke nje”

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement