Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 15: Wabunge Vs Mabalozi wa Usalama Barabarani

on

Mbali na burudani ya muziki kutoka kwa mastaa mbalimbali wa Bongofleva ambao walitoa burudani kwenye Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika Uwanja wa Uhuru leo August 12, 2017, burudani nyingine ilikuwa ni kandanda kati ya Wabunge dhidi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani.

millardayo.com inazo hizi picha 15…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement