Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana?

on

Mchana wa December 7 2017 zilienea taarifa katika mitandao ya kijamii zikidaiwa kuwa Meya wa Ubungo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Boniface Jacob na Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Godbless Lema wamegombana na kupigana ngumi chanzo kikiwa hakijatajwa.

AyoTV ilifanikiwa kuwatafuta Boniface Jacob na Godbless Lema na kufanya nao Exclusive interview na wameeleza kuwa sio kweli kuwa wamegombana hizo ni habari za uzushi, AyoTV iliwatafuta kwa pamoja.

“hahaha nimepigana na Boniface? nimeziona hizo taarifa nimezipuuza na nimezidharau, ukiona chama tawala kinaanza kufikiria propaganda za kitoto kwa kiwango hiki maana yake ni kuwa hakipo katika hali nzuri nimeota katika mitandao leo kwa nini CCM wanafanya aina hii ya propaganda sababu wamezidiwa”>>>Godbless Lema

“Kiukweli ni kwamba hatuwezi kupigana kwenye vikao tunapigana kwa hoja na hakuna hoja yoyote ya ugomvi iliyojitokeza, walikuwa wanasubiri sana hasa baada ya kuona mimi nimetoa baadhi ya utabiri lakini mimi siwezi kupigana na Bon kama nitapigana basi nitapigana na Polepole”>>> Godbless Lema

BREAKING NEWS: Tamko la Mwananchi kuhusu mwandishi aliyepotea

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement