Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo…. kaileta hii inaitwa ‘mzuri pesa’

on

Kama umedumu na bongofleva kwa kitambo jina la King Crazy GK halitakua jipya kwako na utakua unafahamu kwamba alikua kundi moja la East Coast na kina Ay, MwanaFA na wengine.

Kuitazama video yake mpya bonyeza play kwenye hii video hapa chini na ukishaitazama usiache kutoa comment yako maana GK atapita pia hapa kujua watu wake wameipokeaje.

UMEIKOSA YA DOGO JANJA ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA?  TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement