DSTV

Tangaza Hapa Ad

Michezo

Sadio Mane kaumia, hizi ndio game atakazozikosa

on

Club ya Liverpool ya England leo Jumanne ya October 10 2017 imetangaza kuwa staa wao Sadio Mane raia wa Senegal atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki sita kutokana na kupata maumivu ya misuli.

Sadio Mane amepata majeraha hayo akiitumikia timu yake ya taifa ya Senegal wakati wa michezo ya kimataifa kipindi hiki ambacho timu zilikuwa zinacheza game za kirafiki na game za mwisho za kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kutokana na taarifa hiyo kutolewa rasmi baada ya uchunguzi wa madaktari, club ya Liverpool sasa itamkosa Sadio Mane katika game tano za Ligi Kuu England ambazo dhidi ya Man United October 14, Tottenham October 22, Huddersfield October 28, West Ham Novemba 4 na game ya Southampton Novemba 18 2017.

List ya majina 30 ya wanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2017

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement