Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Haji Manara amegoma kuitwa msemaji wa Simba SC leo

on

Alhamisi ya May 10 2018 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara club ya Dar es Salaam Young Africans walikuwa Sokoine Mbeya kucheza mchezo wao wa 25 wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Tanzania Prisons.

Yanga wakiwa Mbeya wamekubali kupoteza mchezo mbele ya Tanzania Prisons kwa magoli 2-0, hivyo kipigo hicho kimeifanya Simba kutangazwa Bingwa wa VPL msimu wa 2017/2018 wakiwa na point 65 na michezo mitatu mkononi.

Afisa habari wa Simba Haji Manara baada ya Simba kutangazwa Mabingwa amenukuliwa na Azam TV akisema “Najua wana Simba wote wana furaha lakini hakuna anayenizidi mimi … Yeyote atakayeniita msemaji wa Simba nitampiga, niite msemaji wa mabingwa wa nchi – @hajismanara

VIDEO: Emmanuel Okwi hawezi kupata presha kwa rekodi ya Tambwe VPL

Soma na hizi

Tupia Comments