Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Hutataka kupitwa na hii video ya Yemi Alade ‘Tumbum’

on

Baada ya Yemi Alade ambaye ni mshindi wa tuzo ya MTVMAMA2016 kufanya vizuri na ngoma yake ‘Want you’, Leo November 9, 2016 mrembo huyu ametuletea Video nyingine tena kwenye TV iliyobeba title ya ‘Tumbum’

Nimeshakuwekea hapa chini, bonyeza play kuitazama

VIDEO? Performance ya Yemi Alade kwenye jukwaa la FIESTA 2016 Dar es salaam, Nimeiweka hapa, Itazame kwa kubonyeza Play.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement