Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEOMPYA: Kutoka kwa Grace Matata, ametuletea hii mpya inaitwa ‘Utanifaa’

on

Grace Matata ameamua kuirudia albam yake ya Nyakati ambayo aliiachia miaka mitatu iliyopita, na kuongeza nyimbo mbili (Bonus tracks) katika albamu hiyo. Na moja ya singles zilizoongezwa ni ‘Utanifaa’ ambayo ameifanyia Video, na leo Nov 28 anatukaribisha kuitazama.

Unaweza kuitazama hapa video hiyo mpya ya Grace Matata  ‘Utanifaa’

Grace alitumia ukurasa wake wa Instagram kueleza kwamba Albamu hiyo kwa sasa itapatikana katika mfumo wa Cd tofauti na hapo awali ambapo ilikuwa inapatikana kwenye mtandao pekee.

Allow me to share with you my end of the year present to all our loyal fans and supporters. My first album NYAKATI was a very personal project to me. I wrote all but one song on the album sharing with the whole world a deep personal part of me. The fact that 3 years later the music still lives on is an honor to me ?. We never had hard copies of the album. The album sold online only (iTunes, cdbaby). Over the years, the biggest question I usually get is, “Where can we get your CDs?” Well, finally you can. This Dec 3rd, we will lauch NYAKATI (Deluxe Edition) with 2 bonus tracks not available in the original album, in total 14 songs. The first 200 original signed copies will be sold at @thecoffehousessions at @woodberrycafe.tz afterwards, the CD will be available at all our live performance and selected stores. Save the date! #Rebirth #NYAKATIDeluxEdition ………………………………………………………. Habari! Naomba kushare na nyinyi zawadi ya mwisho wa mwaka kutoka kwangu. Album yangu ya kwanza, NYAKATI ilitoka miaka mitatu iliyopita na iliuzwa kwenye internet tu. Swali kubwa ambalo nimekua nikipata kila mara ni wapi CDs zangu zinapatikana. Kuanzia December utaweza kupata CDs za Nyakati. Tarehe 3 December tutaachia NYAKATI (Deluxe Edition) yenye nyimbo za bonus 2 ambazo hazikuwepo kwenye original album, ambayo itakuwa na nyimbo 14. Kopi 200 ambazo ziko signed zitauzwa kwenye @thecoffeehousesessions pale @woodberrycafe.tz siku hiyo na CDs zitaendelea kupatikana kweny maduka kadhaa baada ya hapo. #Rebirth #NYAKATIDeluxeEdition

A photo posted by Grace Matata (@gracematata) on

VIDEO: Grace Matata akieleza sababu za yeye kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye mziki

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement