Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

TRAILERS: Movie 6 utazikuta Cinema Dar es salaam leo Oct 8

on

Najua nina watu wangu tu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend kama hivi sasa kama upo Dar es salaam kuna hizi movie labda ukitazama Trailers hapa unaweza kushawishika kwenda kuzitazama.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center, Arusha Mall, unaweza ukaangalia trailers za movie hapa chini zitakazooneshwa leo October 8, 2016 usiku.

Miss Peregrine’s Home for Peculiar Children 

Queen of Katwe 

Mirzya 

Remo

The Secret Life of Pets

M.S.Dhoni

ULIIKOSA HII YA MAANDALIZI YA JUKWAA LA MKALI CHRIS BROWN MOMBASA KENYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement