Top Stories

Facebook ilitumia zaidi ya bilioni 21 kumlinda Boss wake 2017

on

Kampuni ya mtandao wa Facebook imeeleza kuwa kwa mwaka 2017 pekee, kampuni hiyo imetumia kiasi cha Dola za Marekani milioni 9 sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 21.6 kwaajili ya ulinzi wa Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg.

Pesa hiyo inaelezwa kuongezeka kwa asilimia 50 kutoka Dola 5.8 ambazo zilitumika kwa ulinzi wa Zuckerberg na familia yake kwa mwaka 2016.

Pia inaelezwa kuwa tangu mwaka 2015 kampuni hiyo imetumia kiasi cha Dola za Marekani milioni 20 sawa na Shilingi Bilioni 48 kwa ajili ya ulinzi na gharama za ndege binafsi.

Onyo alilotoa January Makamba kwa Mastaa wa Bongo

Soma na hizi

Tupia Comments