Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Irene Uwoya kazungumza kuifungua Club yake mpya mwezi huu

on

Staa wakike Bongo Irene Uwoya amezungumza kuhusu December 18 ambayo amekuwa ikaiandika sana kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo kasema ni tarehe yake ya kuzaliwa hivyo atafanya kitu cha tofauti kidogo ambacho hakupenda kukitaja, lakini hata hivyo ameizungumzia Club yake mpya anayotaka kuizindua ndani ya mwezi huu.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

EXCLUSIVE: MUNA KAWAJIBU WALIODAI KAMTELEKEZA MTOTO WAKE MWINGINE

Dogo Janja aiponda style mpya ya nywele ya Billnass, aliyempost ndiye mpenzi mpya?

Soma na hizi

Tupia Comments