Tangaza Hapa Ad

Michezo

DONEDEAL: Lyanga wa Simba kafuzu majaribio Uarabuni

on

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Danny Lyanga ameingia kwenye headlines baada ya taarifa za yeye kufuzu majaribio kusambaa katika mitandao ya kijamii, Danny Lyanga amefanikiwa kujiunga na Fanja SC.

Lyanga ambaye alikuwa hana nafasi ya kucheza Simba kutokana nafasi ya ushambuliaji kuwepo na washambuliaji kama Laudit Mavugo kutoka Burundi, Fredrick Blagnon kutoka Ivory Coast na Ibrahim Ajib alikuwa hana nafasi hivyo Simba waka mruhusu akafanye majaribio klabu ya Fanja SC.

Simba walimruhusu Lyanga kwenda kufanya majaribio katika klabu ya Fanja SC ya Oman na amefanikiwa kufuzu na kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo, Fanja SC ni klabu inayoshiriki na kuongoza Ligi Kuu ya Oman yenye timu 14.

gt5

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement