Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Video: Behind the scene ya Diamond Platnumz ft Rayvanny ‘Salome’

on

Moja kati ya single zinazopata airtime ya kutosha kwenye TV na Radio stations mbalimbali kwa sasa ni single ya mkali Diamond Plantumz akiwa na Rayvanny iitwayo Salome. 

Sasa basi leo wametuletea hii Behind the scene ya  maandalizi ya video hiyo jinsi ilivyokuwa ikiandaliwa

ULIKOSA HII YA VANESSA MDEE KUHUSU KUANDIKA WIMBO MPYA WA MAFIKIZOLO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement