AyoTV

Mbona Jonas Mkude hatumuoni Zenji? Meneja wa Simba kajibu

on

Baada ya mchezo wa Simba SC dhidi ya KMKM uliyomalizika kwa SImba kupata ushindi wa goli 1-0, meneja wao Simba Abbas Suleiman mbele ya waandishi wa habari alilazimika kujiubu maswali yote yaliokuwa yanatatiza waandishi na kutaka kujua kilichofanyika.

Abbas baada ya kuulizwa kuhusiana na kukosekana kwa kiungo wao Jonas Mkude ameeleza kuwa mchezaji huyo yupo na hana tatizo lolote, hivyo waliyokuwa wanataka kufahamu na kueleza kuwa anaweza.

HOFU YATANDA: Erasto Nyoni wa Simba katolewa na machela kashindwa kutembea

Soma na hizi

Tupia Comments