PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

AyoTV

TOP 5: Hizi ndio baadhi ya nyimbo anazozipenda Thomas Ulimwengu

on

Najua wengi sio wageni wa jina la Thomas Ulimwengu ambaye ni mshambuliaji wa club ya Al Hilal ya Sudan na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Ulimwengu amekuwa maarufu sana kutokana na uwezo wake mkubwa anaouonesha uwanjani.

Leo AyoTV imefanikiwa kupata Exclusive interview na staa huyo na kuongea nae mambo mbalimbali lakini cha kwanza ameongelea kuhusiana na nyimbo tano anazopenda kuzisikiliza akiwa kapumzika kwake, kwenye gari yake au hata akiwa home, Bonyeza PLAY kuisikia list kamili ya nyimbo hizo.

“Simba tumewaachia, sisi hatuna presha”-Kocha wa Yanga

Soma na hizi

Tupia Comments