AyoTV

Juma Mahadhi wa Yanga kafunguka siku 139 za majeruhi yake

on

Leo ni siku ya 139 toka kiungo mshambuliaji wa Yanga Juma Mahadhi aumie jeraha la goti na kuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi minne, Juma Mahadhi aliumia katika mchezo dhidi ya USM Alger uliyochezwa Dar es Salaam uwanja wa Taifa August 19 2019.

Hivyo tokea hapo amekuwa nje ya uwanja licha ya kufanyiwa upasuaji wa goti mara mbili, kwa sasa anaendelea vizuri ila amekubali kuweka wazi kila kitu kuhusiana na changamoto alizokuwa anapitia katika kipindi alichokuwa majeruhi kiasi cha kupelekea kufanyiwa upasuaji mara mbili.

Baraka Mpenja wa Azam TV “Walitaka kuandika barua nisitangaze mechi zao”

Soma na hizi

Tupia Comments