Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kitu Msuva kaongea baada ya kurudi Tanzania akiwa na rekodi pekee Morocco

on

Mtanzania Simon Msuva anayecheza soka la kulipwa katika club ya Difaa El Jadid ya Morocco leo Ijumaa ya May 25 2018 amewasili Tanzania kwa mapumziko ya mwisho wa msimu wa Ligi Kuu Morocco.

Msuva amerudi bongo akiwa kaweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee wa kigeni Ligi Kuu Morocco aliyefunga magoli mengi katika list ya wafungaji bora akiwa nafasi ya nne kwa ujumla huku akiwa kakosa.

VIDEO: Ukimuuliza John Bocco ana-miss nini Azam FC atakujibu hivi

Soma na hizi

Tupia Comments