PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

Vera Sidika amekubali yaishe na Otile Brown ya moyoni ameyatoa

on

Penzi kati ya msanii Otile Brown na mwanadada Vera Sidika laonekana kurudi mahala pake hii ni baada ya Vera Sidika kuthibitisha hilo kwa kuandika ujumbe mfupi kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Vera Sidika ameandika kuwa ‘Wanasema kuwa ukimpenda mtu muache aende na akirudi basi ilitakiwa kuwa hivyo, mapenzi yanashinda” baada ya jumble huo wengi kuhoji kuwa penzi limerudi kati ya Vera na Otile Brown.

August 18,2018 Vera Sidika alitangaza rasmi kuwa ameachana na Otile Brown na kutaja sababu nyingi ikiwa moja wapo kuwa Otile alimtaka ย kumtumia kikazi zaidi kuliko mapenzi.

Krish wa Uwoya kaandika ujumbe wa wazi kumkumbuka baba yake Ndikumana

Soma na hizi

Tupia Comments