PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Manny Pacquiao JR wa Tanga mwenye mbwembwe za Prince Naseem ulingoni

on

Moja kati ya mapambano ya ufunguzi yaliochezwa jana katika uwanja wa Mkwakwani kabla ya pambano la Hassan Mwakinyo na Joseph Sinkala ni pambano la Idrissa Juma ambaye watu wanamuita AKA Manny Pacquiao JR.

Idrissa amekuwa akiitwa Manny Pacquiao na mashabiki wake na baadhi ya watu wake wa karibu lakini licha ya kufananishwa na bondia huyo kwa kiphilipino Idrissa huwa ana mbwembwe sana ulingoni kama bondia mstaafu wa Uingereza Prince Naseem Hamed ndio alikuwa na mbwembwe hizi.

Bondia Idrissa Pacquiao Juma amecheza mapambano 37 na kushinda mapambano 31 kwa KO, unaweza kubonyeza PLAY kutazama namna anavyopigana kwa mbwembwe kama Prince Naseem.

Angalia Mwakinyo alivyoendeleza ubabe, kampiga Sinkala TKO round ya pili

Soma na hizi

Tupia Comments