Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Washtue wana haya ndio Makundi nane ya Ndondo Cup 2018

on

Michuano ya mchangani maarufu kama Ndondo Cup 2018, Jumatatu ya May 28 katika viwanja vya Escape One droo ya Makundi ya michuano hiyo ilichezeshwa chini ya mwenyekiti wa Ndondo Cup Shaffid Dauda na mchezaji wa Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa Baroka FC ya Afrika Kusini Abdi Banda.

Droo ilichezeshwa na makundi nane kupangwa ambapo michuano hiyo katika hatua ya makundi kila siku zitachezwa game mbili katika viwanj vya Kinesi na kiwanja cha chuo cha utalii maarufu kama Bandari.

Yametimia maneno ya mchambuzi mkongwe Dr Leaky kuhusu Champions League

Soma na hizi

Tupia Comments