PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

“Niliwaambiwa wachezaji wangu, hapa tusitawanyike”-Kocha Mtibwa

on

Game ya fainali ya Kombe la FA kati ya Singida United dhidi ya Mtibwa Sugar iliyochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kumalizika kwa Mtibwa Sugar kupata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Singida United.

Baada ya game AyoTV ikampata kocha mkuu wa Mtibwa Sugar Zuberi Katwila na kukubali kueleza kuhusiana na mbinu aliyoitumia kuwafunga Singida licha ya kuzidiwa mwanzoni.

AyoTV ilivyomnasa staa wa zamani wa Liverpool Airport KIA

Soma na hizi

Tupia Comments